Habari za Michezo

FKF yasaini dili la Milioni 60 na kampuni ya ubashiri

Saša Krneta na Katibu mtendaji wa FKF Barry Otieno wakati wa uzinduzi wa ufadhili wa miaka mitatu katika hoteli  ya City jijini Nairobi. PICHA/CITIZEN DIGITAL Nairobi, Kenya Shirikisho la soka nchini Kenya FKF leo Jumanne limesaini mkataba wa miaka mitatu wa shilingi za Kenya milioni 60  na kampuni ya ubashiri…

Read more

Jepchirchir, Kosgei kushiriki mbio za London Marathon

Picha/hisani Nairobi, Kenya Bingwa wa mbio za olimpiki Peres Jepchirchir na mwenzake wa mbio za dunia Brigid Kosgei wamethibitishwa kushiriki mbio za London Marathon zitakazofanyika April 23 mwaka huu 2023. Wawili hao wanatarajia kurejea ushindi baada ya kutatizwa na majeraha ya mara kwa mara mwaka jana 2022 yaliyomlazimu Jepchirchir kujiondoa…

Read more