Picha/Umoja wa Mataifa Kilifi, Kenya Eneo bunge la Rabai na sehemu za Kilifi Kaskazini zinatajwa kupigwa hatua kubwa sana kutumia vyoo Kaunti ya Kilifi, Pwani ya Kenya. Kulingana na sensa ya mwaka 2019, Kilifi iliorodheshwa miongoni mwa Kaunti 15 zenye changamoto kubwa ya kutumia vyoo nchini Kenya. Mshirikishi wa afya…
Mipira ya kondomu. Picha hisani Taita Taveta, Kenya Kaunti ya Taita Taveta inakabiliwa na uhaba mkubwa wa dawa za kupunguza makali ya Ukimwi, ARV na mipira ya kondomu karibu katika vituo vyote vya afya vya serikali na kibinafsi. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya utafiti uliofanywa na idara ya…
Mbu aina ya Anophelas anayesababisha Malaria. Picha/hisani Kilifi, Kenya Wanasayansi wanahofia madhara makubwa ya magonjwa yanayoonekana kusahaulika kutokana na juhudi kubwa kuelekezewa ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya. Vyombo vya habari vinalaumiwa kwa kutoangazia magonjwa hayo yanayoua watu kimyakimya. Emmaloise Gathuri, mmoja wa wanasayansi hao kutoka taasisi ya utafiti ya Kemri…
Samburu, Kenya Wafugaji kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya wanatolea wito serikali inunue mifugo yao kama njia ya kuwasaidia kukabili hasara wanayopata kutokana na ukame. Kaunti kama Samburu na Kilifi, jamii ya wafugaji inaitaka serikali iharakishe mpango wa kununua mifugo iliyoemewa na ukame. Ng’ombe, Ngamia, Mbuzi na Kondoo katika Kaunti zilizoathirika…