Katibu mkuu mtendaji wa MCK, David Omwoyo. Picha/hisani Nairobi, Kenya Baraza la habari nchini Kenya (MCK) litakutana na wajumbe wa sekta ya habari kesho Ijumaa, Januari 27, 2023 kujadili mbinu mjarabu za kukabili wanahabari ghushi. Katibu mkuu mtendaji wa baraza hilo David Omwoyo amesema kwenye taarifa kwa vyombo vya habari…
Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati, makamishna Boya Molu na Abdi Guliye. Picha/hisani Nairobi, Kenya Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) nchini Kenya, Wafula Chebukati anadai kupewa dau la rushwa kumtangaza kinara wa Azimio Raila Odinga kuwa mshinidi wa uchanguzi mkuu wa mwaka jana 2022 au uchaguzi…
MOMBASA KENYA 18TH JANUARY 2023 Wavuvi watatu raia wa tanzania waliokolewa na meli ya mizigo baada ya kukwama baharini kwa siku tatu. Wavuvi hao walifika salama katika bandari ya Mombasa Jumanne usiku. Polisi wanasema watatu hao wanatoka eneo la Tanagani Pemba na walikaa bila chakula wala maji baada ya…
NAIROBI, KENYA 16TH JAN, 20023 Wizara ya Elimu imewaagiza walimu wakuu kutotoza karo yoyote kwa wanafunzi wa darasa la 7 katika shule za umma. Serikali imetoa Sh9.6 bilioni kwa shule za upili. Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema walifanyia Tulifanyia kazi takwimu ambayo inakaribiana na ile ya shule ya upili…