Kigali, Rwanda Serikali ya Rwanda imesema ndege ya kivita kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ilikiuka mamlaka ya anga yake Jumanne, wakati mzozo ukizidi kati ya majirani hao kuhusiana na eneo tete la mashariki ya Congo. Kinshasa ilikanusha kuwa moja ya ndege zake iliruka juu ya Rwanda, na kuishutumu Kigali…
Beni, DR. Congo Watu kumi na saba (17) wamejeruhiwa kwenye mripuko wa bomu uliotokea mjini Beni, nchini Demokrasia ya Congo. Mripuko huo umetokea mwendo wa saa moja kasorobo wakati mlio wa bomu ulisikika eneo kubwa la mji wa Beni. Bomu hilo lilitegwa kwenye jengo la mtambo wa kusagia unga wa…
Mamia ya waandamanaji washika mabango barabarani, kupinga uwaniaji urais wa Seif Gaddafi na Halifa Haftar mjini Tripoli, Libya. Tripoli, Libya Mamia ya Walibya waliandamana jana Ijumaa mjini Tripoli kupinga kile walichokitaja kuwa wahalifu wa kivita kutaka kuwania urais nchini humo mwezi ujao. Ni baada ya mbabe wa kivita anayeongoza vikosi…
Dodoma, Tanzania Nchini Tanzania mambo yanaonekana kwenda kasi zaidi baada ya serikali nchini humo kujitokeza hadharani na kuonesha kwenda kinyume na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli katika baadhi ya mambo. Miongoni mwa mambo yanayoweka wazi tofauti hiyo ni mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo…