Kituo cha Mafuta. Picha/hisani Nairobi, Kenya Bei za mafuta ya Petroli, Diseli na ya taa zimeshuka na kuwapa Wakenya tumaini jipya la maisha baada ya tathmini ya karibuni kabisa ya Mamlaka ya Nishati na Petroli (EPRA). Bei za mafuta ya Petroli na Diseli zimeshuka kwa shilingi 5 kuanzia kesho Ijumaa…