Beki wa Kariobangi Sharks FC Boniface Onyango akabiliwa na Kevin Kimani (Mwenye jezi nyeusi) wa Wazito FC wakati wa mechi ya Ligi kuu ya Kenya Ugani Moi International Sports Centre, Kasarani November 29, 2020. (Picha/Hisani) Nairobi, Kenya Beki kisiki wa klabu ya soka ya Kariobangi Sharks Boniface Onyango amethibitishwa kukaa…
Cherono Kipkorir (9) akiwa na kombe la ushindi jumla baada ya kushinda kwenye mashindano ya NCBA Royal Nairobi Golf Club leg ya mwaka 2021. (Picha/Hisani) Nairobi, Kenya Klabu ya Gofu ya Ruiru ndiyo mwenyeji mpya wa makala ya 22 ya gofu yanayodhaminiwa na NCBA mwaka huu 2021, Jumamosi hii. Jumla…
Mwanariadha Agnes Tirop wakati wa moja wapo ya mashindano ya riadha. Picha/ hisani Elgeyo Marakwet, Kenya Mwanariadha wa mbio za mita 5,000 kwa wanawake na mwakilishi wa Kenya kwenye mashindano ya riadha ya Tokyo, Japan Agnes Tirop amekufa. Bi. Tirop amekutwa leo Jumatano Oktoba 13 amekufa nyumbani kwake eneo la…
LONDON. Nahodha wa Manchester United, Harry Maguire, na beki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold, hawtajumuishwa kwenye kikosi cha timu ya soka ya Uingereza kwa michuano ya kufuzu kombe la dunia mwakani. Wawili hao wana majeraha yaliyowakosesha ngarambe za Klbau bingwa barani Ulaya dhidi ya Villareal na FC Porto mtawalia katikati mwa…