All Posts

WHO: Wanaume waongoza kwa visa vya kujitoa uhai kutokana na matatizo ya akili Ulimwenguni

Kilifi, Kenya Wanaume wanaongoza kwa visa vya kujitoa uhai kutokana na matatizo ya akili, Shirika la Afya Ulimwenguni WHO limesema. Suala hili limepelekea ongezeko la kupotea au kupungua kwa nguvu kazi ya taifa. Lakini mbona wanaume? Mwandishi wetu Florence Kasichana Masha anazamiri suala hili kwa kina. Mwandishi: Florence Kasichana Masha…

Maelfu ya wafanyabiashara waandamana jijini Nairobi kupinga kufurika kwa wafanyabiashara wa kigeni

Nairobi, Kenya Wafanyabiashara jijini Nairobi, nchini Kenya, wameandamana mchana kutwa kwa kile wanachokitaja kuwa ni kufurika kwa wafanya-biashara kutoka China nchini humo wakitaka serikali ilinde maslahi yao. Makumi kwa mamia ya wafanya-biashara hao wameandamana kwa amani kutoka katikati mwa jiji hadi kwenye ofisi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua, wakiomba serikali…